Dodosi la Sql:Kufasiri SQL kwa ajili ya kadhia hii. Unarejea kwenye nyuga zilizoripotiwa kama “Fomu ya ripoti+uga” |
|
Uga ya Fomu:Uga ya fomu ambayo kadhia hii inaingiza thamani |
|
Fomu ZinazochagulikaFomu ambazo zinachagulika kwa ajili ya uga hii. Zinatumika tu kama uga ya fomu ni ya daraja dogo la I2CE_Uga ya Fomu_ILIYOPANDIKIZWA . Ni wakati gani inatakiwa kuwa orodha za fomu zilizotenganishwa kwa alama ya mkato. |
|
Nyuga zilizounganishwanyuga ambazo zinaunganishwa wakati wa kuorodhesha chaguzi.Inatumika tu kama uga ya fomu ni daraja dogo la I2CE_Uga ya Fomu_ILIYOPANDIKIZWA. Inapaswa kuwa orodha za fomu zilizotenganishwa na alama ya nukta pacha au 'fomu+kiungo cha uga. Mfano : "nchi:wilaya+mkoa:[mkoa]:nchi" |